Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua amedai kuwa harusi ya Charlene Ruto iligharimu KSh milioni 500 na kukosoa mavazi yaliyovaliwa na Rais William Ruto.