Naibu Rais Kiture Kiniki alikagua miradi ya maendeleo katika Kaunti ya Kericho na alitangaza hatua za serikali za kuboresha mafao ya wakulima wa chai.